Kinondoni yakataa mamilioni ya Magufuli Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob. Halmshauri ya Manispaa ya Kinondoni imekataa mpango wa mchango wa sh. Milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kutoka kwa mawaziri, naibu mawaziri,makatibu wakuu na makamu wa Rais. Read more about Kinondoni yakataa mamilioni ya Magufuli