Serikali yarejesha mashamba kwa wananchi
Serikali mkoani Kilimanjaro imerejesha mashamba yenye ukubwa wa hekari 2470 kwa wananchi wa vijiji viwili vya Lotima na Makuyuni wilaya ya Moshi ambayo yalichukuliwa kwa makosa kwa lengo la kujenga soko la kimataifa la mazao ya nafaka eneo Himo.

