Simbachawene aunda tume kuichunguza KEC, Kibaha Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.George Simbachawene Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene amesema serikali inaangalia namna ya kuunda upya shirika la elimu kibaha (KEC) ili liweze kuendana na mahitaji ya jamii kwa sasa. Read more about Simbachawene aunda tume kuichunguza KEC, Kibaha