Nguo za mitumba marufuku Tanzania kuanzia 2019
Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwigage amesema Serikali imedhamiria kuvifufua Viwanda vya nguo vilivyokufa nakuanzisha vingine vipya kwa lengo la kuzuia na kupiga marufuku uingizwajwi wa nguo za mitumba nchini.

