RUBY AMJIA JUU SAID FELLA RUBY Baada ya Saidi Fella kumzulia jambo msanii Ruby ameibuka na kusema hakuwa na msongo wa mawazo wala nini ila haraka haraka zao ndizo zilisababisha asionekane kwenye video ya ngoma ya Bendi ya Yamoto. Read more about RUBY AMJIA JUU SAID FELLA