Mashabiki wenye wazimu wa England waanza yao Euro.
Kama ilivyo ada ama destuli ya mashabiki wenye wazimu wa mpira kutoka nchini Uingereza kufanya fujo pindi timu yao ya taifa maarufu kama Three Lions ikijiandaa na mchezo mashabiki hao wametingisha Ufaransa kwa fujo kubwa mjini Marlseille.