Serikali yawasaka waliopotosha ajira za walimu Prof Faustine Kamuzora - Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Serikali imesema inawasaka watu waliosambaza taarifa za UONGO mitandaoni kuwa mwaka huu haitatoa ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa na biashara. Read more about Serikali yawasaka waliopotosha ajira za walimu