Ni rasmi, Nolito amwaga wino Manchester City.

Manuel Nolito(pichani)akishangilia bao akiwa na timu yake ya Taifa ya Hispania.

Klabu ya soka ya Manchester City imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Manuel Nolito kutoka Celta Vigo ya Hispania kwa ada ya kiasi cha pauni milioni 13.8.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS