Bajeti mbadala ya upinzani ni Tsh trilion 22.49 Kambi rasmi ya upinzani Bungeni leo imewasilisha hotuba yake kuhusu hali ya uchumi wa taifa , mpango wa maendeleo wa taifa na makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 Read more about Bajeti mbadala ya upinzani ni Tsh trilion 22.49