Rais Magufuli awaasa waumini kuiombea Tanzania

Rais Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakisali katika moja ya makanisa aliyotembelea leo.

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea Msikiti na Makanisa yaliyopo Chato Mjini Mkoani Geita na kuendelea kuwasihi Watanzania kuombea amani na utulivu katika nchi bila kujali tofauti za dini, makabila na kanda wanazotoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS