Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu aliachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kukana mashitaka matatu ya uchochezi aliyosomewa. Read more about Tundu Lissu