Halmashauri zote nchini hazijitegemei kibajeti

Waziri ofisi ya Rais Tamisemi Mhe.George Simbachawene

Waziri ofisi ya Rais Tamisemi Mheshimiwa George Simbachawene amesema kwa sasa hakuna halmashauri hata moja nchini ambayo inauwezo wa kujitegema kwa asilimia 10 ya matumizi yake ya kibajeti walizojitengea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS