Kikosi cha Serengeti Boys kilipokuwa kikiwasili nchini Afrika Kusini siku moja kabla ya mchezo
Timu ya soka ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys leo imegoma kupoteza mchezo dhidi ya wenyeji Afrika Kusini baada ya kuibana Amajimbos na kutoka sare bya bao 1-1.