Mabingwa wa Dance100% 2016
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano Vodacom Jacquiline Materu (Kushoto) wakiwakabidhi washindi wa kwanza wa Dance100%-2016 Team Makorokocho zawadi ya kombe na mfano hundi