Taifa Stars kujipima nguvu kwa Ethiopia, Oktoba 8 Taifa Stars ilipocheza na Chad Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), inatarajiwa kucheza na Ethiopia katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Oktoba 8, 2016. Read more about Taifa Stars kujipima nguvu kwa Ethiopia, Oktoba 8