Bilioni moja yatakiwa kukarabati vituo vya afya Akina mama wajawazito katika harakati za uzazi Serikali imeombwa kutoa shilingi bilioni moja kwa ajili ya kukarabati vituo vya afya vinavyotoa huduma ya uzazi kwa mama na mtoto nchini. Read more about Bilioni moja yatakiwa kukarabati vituo vya afya