Lipumba kushtakiwa Baraza Kuu la CUF

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Nassor Ahmed MazruI.

Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama cha Wananchi (CUF), imeandaa ajenda ya kumfikisha Prof. Ibrahim Lipumba mbele ya baraza kuu la uongozi wa chama hicho ili ajieleze kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kuvunja na kuvamia ofisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS