Vodacom yafurahishwa ubunifu fainali za #Dance100
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom Tanzania imesema imefurahishwa sana na namna ambavyo washiriki wa #Dance100 wamekuwa na ubunifu wa hali ya juu na kufanya fainali za #Dance100 kuwa za aina yake mwaka huu.