TAMWA yataka marekebisho sheria za barabarani

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Eda Sanga.

Chama cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania(TAMWA), kimetoa kauli yake katika maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayoanza hii leo nchini kote kwa kushauri marekebisho ya sheria na kanuni za usalama barabarani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS