Rais Dkt. Magufuli atinga wizara ya maliasili
Rais Dkt. John PombeMagufuli, leo tarehe 29 Oktoba, 2016 amefanya ziara ya kushtukiza katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii kwalengo la kufuatilia utekelezaji waoperesheni ya kukabiliana na ujangilii inayofanywa na kikosi cha wizara hiyo.

