Simba yairarua Mwadui FC tatu bila
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imeendelea kuwa moto wa kuotea mbali msimu huu baada ya hii leo kuinyamazisha Mwaduic fc kwa kuinyuka mabao 3-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara uliopigwa kwenye uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga

