Kichuya azidi kuwakimbiza
Winga wa Simba, Shiza Kichuya ameendelea kuwatesa makipa wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara baada ya jana kuziona nyavu wakati Simba ikishinda 3-0 dhidi ya Mwadui FC, hivyo kuzidi kuwaacha wapinzani wao wakiwanyoshea kidole kileleni.

