Nimekwishajisajili kwenye Tuzo za EATV - Alikiba

Alikiba

Msanii Alikiba ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa 'Aje' amesema kuwa tayari yeye amekwisha jisajili kushiriki kwenye tuzo za East Africa Televison zinazofahamika kama EATV AWARDS, ambazo zinatarajiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu, DSM

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS