Wajifungulia porini kwa kijiji kukosa zahanati

Maeneo ya Nguji Dodoma

Kijiji cha Zepisa, kata ya Hombolo Bwawani Manispaa ya Dodoma, kinakabiliwa na tatizo la huduma za matibabu kwa kukosa zahanati kwa muda mrefu hali inayosababisha baadhi ya wajawazito kujifungulia porini pale wanapofuata zahanati vijiji vya jirani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS