Serikali yatangaza adhabu mpya kwa wala rushwa

Angellah Kairuki - Waziri wa Utumishi na Utawala Bora

Serikali imeeleza dhamira yake ya kuongeza adhabu kwa watu wanaobainika kuhusika na rushwa ili wawe wanalipa fidia ya hasara iliyojitokeza mbali na kutumikia kifungo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS