Kipindupindu charejea kwa kasi, chatikisa mikoa 6 Ummy mwalimu - Wazir wa Afya Serikali imesema kumeibuka upya kwa ugonjwa wa kipindu pindu katika mikoa sita ambapo takwimu zinaonyesha kuwa wapo wagonjwa 458 huku sita wakiwa wameshapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo. Read more about Kipindupindu charejea kwa kasi, chatikisa mikoa 6