"Tuna nishati ya kutosha kwa ajili ya uwekezaji"

Prof. Sospeter Muhongo - Waziri wa Nishati na Madini

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania kwa sasa ina hazina ya kutosha ya makaa ya mawe na gesi itakayowawezesha wawekezaji kupata nishati ya uhakika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS