Majaliwa awataka watanzania kupeleka fedha benki Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wilayani Karatu Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyingi majumbani na badala yake wajenge utamaduni wa kuzipeleka benki kuepusha kuhatarisha usalama wao. Read more about Majaliwa awataka watanzania kupeleka fedha benki