Pombe kali 'yachukua' maisha ya kijana wakazi wa Tunduma wakiwa katika shughuli zao. Mkazi wa mtaa wa Mgombani katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Mbozi mkoani Songwe amekutwa akiwa amefariki kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni unywaji pombe kali kupita kiasi pasipo kula. Read more about Pombe kali 'yachukua' maisha ya kijana