Kifo cha Ismail wa Mbao FC, TFF yafichua siri
Wakati wadau wa soka nchini wakiendelea kumlilia mchezaji wa Mbao FC, Ismail Halfan aliyefariki uwanjani Mjini Bukoba juzi na kuzikwa jana Jijini Mwanza, imebainika kuwa Ismail alikuwa ni wa kwanza kuchaguliwa kuunda timu ya taifa ya vijana (U-20)
