Mbowe adai kupatikana kwa katiba kumuenzi Sitta.
Mbunge wa Hai kupitia CHADEMA ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, amesisitiza kukamilishwa kwa mchakato wa katiba, ili kumuenzi aliyekuwa Spika wa Bunge la 9 la Tanzania, Mh. Samuel Sitta.