Stars kuwasambaratisha watoto wa Mugabe!

Wachezaji wa Stars walipokuwa wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya Jakaya Kikwete, jijini DSM kujiandaa na mchezo dhidi ya Zimbabwe utakaochezwa leo.

Taifa Stars leo itashuka dimbani mjini Harare, Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Zimbabwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS