Samuel Sitta azikwa leo Urambo. Aliyekuwa Spika wa Bunge la 9 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samuel John Sitta, amezikwa leo nyumbni kwao Urambo mkoani Tabora, kwenye makaburi ya familia. Read more about Samuel Sitta azikwa leo Urambo.