Wamlilia Rais Magufuli, kupandishwa kwa Umeme!
Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (Cegodeta), imeandika barua ya wazi Rais Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kuomba kusitisha ombi la TANESCO la kutaka kuongeza bei ya umeme ifikapo mwakani.