Obasanjo amshambulia Rais Buhari Obasanjo (Kushoto), Buhari (Kulia) Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo, amemkosoa vikali Rais Muhammadu Buhari, kwa jinsi anavyoshughulikia uchumi wa taifa hilo la Afrika Magharibi Read more about Obasanjo amshambulia Rais Buhari