Wawili wauawa mgogoro wa wakulima na wafugaji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo

Wakazi wa Rufiji mkoani Pwani wamekumbwa na taharuki baada ya kutokea kwa mauaji ya watu wawili mkulima na mfugaji wilayani humo na maiti zao kukutwa zimetupwa porini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS