Ishu ya madawati ilivyowakosakosa ma-RC 7 Madawati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ameeleza sababu zilikuwa zimekwamisha mikoa takriban saba kushindwa kutimiza malengo ya utekelezaji wa agizo la utengenezaji wa madawati. Read more about Ishu ya madawati ilivyowakosakosa ma-RC 7