Rapa watano wakali wa Madee hawa hapa
Rapa Madee leo amefunguka na kutaja wasanii wa Hip hop watano ambao anawakubali na anapenda kuwasikiliza mara kwa mara na kusema mtu wa kwanza ambaye yeye siku zote huwa anapenda kazi zake pia huwa anapenda kupata ushauri wake siku zote ni Fid Q.