Kiungo Hull City avunjika fuvu la kichwa

Mlinzi wa Chelsea Gary Cahill (kulia) alipogongana kichwa na Ryan Mason wa Hull City

Kiungo wa klabu ya Hull City ya nchini Uingereza, Ryan Mason amefanyiwa upasuaji, baada ya kuvunjika fuvu la kichwa, kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, dhidi ya Chelsea, Jumapili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS