Ni fainali ya kisasi AFCON 2017

Timu ya taifa ya Cameroon itakutana na Misri katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ghana usiku wa jana katika Nusu Fainali ya pili Uwanja wa Franceville mjini Franceville, Gabon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS