Msami atamani kutoka na Wema Sepetu

Msami Baby

Msanii wa bongo fleva ambaye pia ni miongoni mwa ma'dansa' wakali Bongo, Msami Baby ameweka wazi hisia za moyo wake na kusema kuna mastaa wa 'bongo movie' anatamani kutoka nao kimapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS