Wema atajwa kuhusika na dawa za kulevya Wema Sepetu Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ametajwa kuwa ni kati ya wasanii ambao wanatumia dawa za kulevya hivyo anapaswa kesho kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda katika kituo cha polisi. Read more about Wema atajwa kuhusika na dawa za kulevya