Calisah hafai kuwa model - Daxx Cruz

Mwanamitindo maarufu wa Tanzania ambaye shughuli zake kwa sasa anazifanyia nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz amefunguka na kutaja vigezo vya mtu anayestahili kuwa mwanamitindo 'model', na kutaja baadhi ya 'models' wa Bongo wasiokuwa na vigezo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS