Guardiola amnyooshea mikono Jesus
Kocha Pep Guardiola amemlinganisha Gabriel Jesus na tikiti maji, baada ya mshambuliaji huyo kinda kuisaidia Manchester City, kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Westham United, kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, uliopigwa jana