VIDEO: Lijualikali baada ya kutoka gerezani Peter Lijualikali akizungumza na wanahabari Mbunge wa Kilombero kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Lijualikali leo amefanikiwa kuachiwa huru na maafisa wa gereza la Ukonga baada ya kukamilisha taratibu za kutoka gerezani. Read more about VIDEO: Lijualikali baada ya kutoka gerezani