Namkubali zaidi Diamond kuliko Kiba - Daxx

Diamond (Kushoto), Alikiba (Kulia)

Model wa muda mrefu toka Tanzania Daxx Cruz Model amefunguka na kusema yeye anamkubali zaidi Diamond Platnumz zaidi kuliko Alikiba kutokana na ukweli kwamba Diamond Platnumz hata ukimbeba anabebeka ila siyo Alikiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS