Mwanafunzi wa chuo afa maji kwenye 'birthday'

Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) Tawi la Mbeya Amon Nsemwa amefariki dunia wakati akiogelea katika ufukwe wa ziwa Nyasa Matema Beach kwenye sherehe ya kifamilia ya kuzaliwa yaani birthday.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS