Simba yatamba kuokoa nyasi zake TRA Hatimaye Klabu ya Simba SC yajitokeza hadharani na kukiri kudaiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kodi za nyasi bandia walizozitelekeza bandarini huku wakifurahia kuongezewa muda wa kulipa malipo hayo. Read more about Simba yatamba kuokoa nyasi zake TRA