Jafo ataja muda wa kunywa pombe za kienyeji

Mzee akionekana kunywa aina moja wapo ya pombe ya kienyeji

Serikali imewataka wafanyabiashara wa Pombe za Kienyeji kuwa na leseni ya kufanya biashara hiyo ambayo hutolewa na Halmashauri, huku ikitaja muda unaoruhusiwa kwa ajili ya kunywa pombe hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS