Ni Yanga na Kiluvya United leo
Timu gani itasonga mbele kwa kuingia hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Young Africans na Kiluvya United? Majibu ya swali hilo yatakatikana leo baada ya mchezo kati ya timu hizo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam